Kipanya na hatma ya watanzania

Ngoja niwasaidie kilichowakosesha
Ni uchaguzi na sheria ngumu zilizopitishwa kwa ajili ya wapinzani tu
Sasa wapinzani wameongezea kitu ambacho wanaona ndio mzizi wa fitna
Katiba mpya itakaozaa tume ya uchaguzi iliyo huru!
 
Itabidi kuwe na uzi maalumu wa vikatuni vya kipanya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…