Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Jul 7, 2020 #1 Msanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatima ya wana habari na vyombo vyake. Je, huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani?
Msanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatima ya wana habari na vyombo vyake. Je, huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani?
Kilawo JF-Expert Member Joined Nov 15, 2016 Posts 1,921 Reaction score 3,374 Jul 7, 2020 #2 Joka litawamaliza wote
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Jul 7, 2020 Thread starter #3 Hilo joka ni lipi na kutoka wapi? Kilawo said: Joka lita wamaliza wote Click to expand...
Fall Army Worm JF-Expert Member Joined Jan 8, 2015 Posts 19,371 Reaction score 14,481 Jul 7, 2020 #4 Duh!!! ni hatari sana.
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,433 Jul 7, 2020 #5 Mr. Joka a.k.a anaconda is Nduli Mkuu, fashisti mkiukaji Mkuu was kuteka, kutesa, kuua, kukandamiza demokrasia, ukiukaji wa katiba etc
Mr. Joka a.k.a anaconda is Nduli Mkuu, fashisti mkiukaji Mkuu was kuteka, kutesa, kuua, kukandamiza demokrasia, ukiukaji wa katiba etc
Bujibuji Simba Nyamaume JF-Expert Member Joined Feb 4, 2009 Posts 76,579 Reaction score 161,433 Jul 7, 2020 #6 Mmawia said: Hilo joka ni lipi na kutoka wapi? Click to expand... Cheyamani wa Mazezeta
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,804 Jul 7, 2020 #7 Mmawia said: Msanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatma ya wana habari na vyombo vyake. Je huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani? View attachment 1499717 Click to expand... Muda huo huo akihojiwa na aljazeera anasema kabanwa, haruhusiwi kupost haya mambo..
Mmawia said: Msanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatma ya wana habari na vyombo vyake. Je huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani? View attachment 1499717 Click to expand... Muda huo huo akihojiwa na aljazeera anasema kabanwa, haruhusiwi kupost haya mambo..
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,534 Jul 7, 2020 #8 Mmawia said: Msanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatma ya wana habari na vyombo vyake. Je huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani? View attachment 1499717 Click to expand... Kipanya anatafuta uteuzi!
Mmawia said: Msanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatma ya wana habari na vyombo vyake. Je huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani? View attachment 1499717 Click to expand... Kipanya anatafuta uteuzi!
uttoh2002 JF-Expert Member Joined Feb 3, 2012 Posts 19,703 Reaction score 37,945 Jul 7, 2020 #9 Mmawia said: Msanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatma ya wana habari na vyombo vyake. Je huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani? View attachment 1499717 Click to expand... Wewe
Mmawia said: Msanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatma ya wana habari na vyombo vyake. Je huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani? View attachment 1499717 Click to expand... Wewe
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Jul 7, 2020 Thread starter #10 Tatizo lako hutaki kuisumbua akili zako kabla ya kuandika kitu hapa jukwaani johnthebaptist said: Kipanya anatafuta uteuzi! Click to expand...
Tatizo lako hutaki kuisumbua akili zako kabla ya kuandika kitu hapa jukwaani johnthebaptist said: Kipanya anatafuta uteuzi! Click to expand...
Determinantor Platinum Member Joined Mar 17, 2008 Posts 61,211 Reaction score 99,963 Jul 7, 2020 #11 Wana habari waliogoma.kuwasemea na kuwatetea wenzao, sasa wanaisha na waonpia, and there is none remaining kumsemea, na yeye atatoweka soon!! Mmawia said: Msanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatma ya wana habari na vyombo vyake. Je huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani? View attachment 1499717 Click to expand... Wanaga
Wana habari waliogoma.kuwasemea na kuwatetea wenzao, sasa wanaisha na waonpia, and there is none remaining kumsemea, na yeye atatoweka soon!! Mmawia said: Msanii maarufu wa katuni ajulikanaye kama Kipanya leo hii ametuletea kisa cha hatma ya wana habari na vyombo vyake. Je huyo nyoka anawakilisha nini au ni nani? View attachment 1499717 Click to expand... Wanaga
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Jul 7, 2020 Thread starter #12 Kwani kwa mtazamo wako hiyo picha inahusiana vipi na uhuru wa kutoa mawazo? barafuyamoto said: Muda huo huo akihojiwa na aljazeera anasema kabanwa, haruhusiwi kupost haya mambo.. Click to expand...
Kwani kwa mtazamo wako hiyo picha inahusiana vipi na uhuru wa kutoa mawazo? barafuyamoto said: Muda huo huo akihojiwa na aljazeera anasema kabanwa, haruhusiwi kupost haya mambo.. Click to expand...
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Jul 7, 2020 Thread starter #13 Asante mkuu Bujibuji said: Cheyamani wa Mazezeta Click to expand...
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Jul 7, 2020 Thread starter #14 Wape salaaaaam mataga wa lumumba Bujibuji said: Mr. Joka a.k.a anaconda is Nduli Mkuu, fashisti mkiukaji Mkuu was kuteka, kutesa, kuua, kukandamiza demokrasia, ukiukaji wa katiba etc Click to expand...
Wape salaaaaam mataga wa lumumba Bujibuji said: Mr. Joka a.k.a anaconda is Nduli Mkuu, fashisti mkiukaji Mkuu was kuteka, kutesa, kuua, kukandamiza demokrasia, ukiukaji wa katiba etc Click to expand...
J johnthebaptist JF-Expert Member Joined May 27, 2014 Posts 104,319 Reaction score 183,534 Jul 7, 2020 #15 Mmawia said: Tatizo lako hutaki kuisumbua akili zako kabla ya kuandika kitu hapa jukwaani Click to expand... Hahahaaaa....... Hujambo mmawia?
Mmawia said: Tatizo lako hutaki kuisumbua akili zako kabla ya kuandika kitu hapa jukwaani Click to expand... Hahahaaaa....... Hujambo mmawia?
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Jul 7, 2020 Thread starter #16 Sawa uttoh2002 said: Wewe Click to expand...
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,804 Jul 7, 2020 #17 Mmawia said: Kwani kwa mtazamo wako hiyo picha inahusiana vipi na uhuru wa kutoa mawazo? Click to expand... Sijui. Au nafikiri yamaanisha upinzani unazidi pukutishwa na wananchi...
Mmawia said: Kwani kwa mtazamo wako hiyo picha inahusiana vipi na uhuru wa kutoa mawazo? Click to expand... Sijui. Au nafikiri yamaanisha upinzani unazidi pukutishwa na wananchi...
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Jul 7, 2020 Thread starter #18 Nipo najiandaa kushangilia ushindi wa ukombozi johnthebaptist said: Hahahaaaa....... Hujambo mmawia? Click to expand...
Nipo najiandaa kushangilia ushindi wa ukombozi johnthebaptist said: Hahahaaaa....... Hujambo mmawia? Click to expand...
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Jul 7, 2020 Thread starter #19 Basi barafuyamoto said: Sijui. Click to expand...
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,804 Jul 7, 2020 #20 Mmawia said: Basi. Click to expand... Dar express.