Duuuuu haya madeni ???
Alikabidhiwa zigo la M66 sasa ana Zigo la M97 ,atakayekuja atakabidhiwa M110.
Idadi ya watu ni m 66 kwasasa na Deni ni 97.
Maraisi walio tangulia wote walikopa weee wanamtishwa mama mzigo mkubwa wa deni.
KWhy na wewe unaamini JPM hakukopa.?Ukitazama picha utaona magufuli akupokea deni hakuluongeza ...kalivusha kama lilivyo
Je ni how much Kwa dollar ?Idadi ya watu ni m 66 kwasasa na Deni ni 97.
Akiondoka idadi itakuwa na idadi ya watu milioni 100 na deni 110.
Maraisi walio tangulia wote walikopa weee wanamtishwa mama mzigo mkubwa wa deni.
Je ni how much Kwa dollar ?