Kipanya leo!!

hajaonewa kabisa safi kipanya.
 
Kwa mwendu huu namshauri aende ulaya upepo upite,mi naona aibu ingekuwa mimi ningejiuzulu
 
naomba hizo tshirts zitengenezwe, ziuzwe tutanunuaje sasa, ni dhaifu kuliko dhaifu yenyewe, long live our prezidar!
 
Nani huyo?
anakaa ikulu! ana kibaraka wake anaitwa gerald hando, hivi yule kaka ni mwanaume au huwa anavaa dera akitoka job, mtoto wa kiume unakuwa kibaraka, pole yake! kama mume wangu NA TALAKA NAITAKA!
 
Kipanya ana maana gani?
 

Attachments

  • kipanya.JPG
    25.9 KB · Views: 47
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…