Kipanya leo!!

Kama taifa tuna wajibu wa kuondokana na aibu hii!!
 
Jambo lakushangaza Serikali huwainajitahidi kuwafukuza ombaomba mijini, nakusahau kuwa na yenyewe ni ombaomba!
 
Kweli tupu Kipanya!
Natamani ningeitumia kama avatar yangu!
 
Asante sana, yaani nimecheka mpaka hapa nilipo watu wakadhani nimepata wehu ukichukulia natumia KI-IDEOS changu cha Mchina!

Nadhani wewe hujacheka kama mimi, yaani hapa nilipo mbavu zinauma
 
Hii ndiyo hali halisi. Tupambane kuibadilisha kwa gharama yoyote. Ni aibu kwa watz wote na ni wajibu wetu sote kuibadilisha!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…