Kipanya: Leo tarehe 17 Feb 2013

Akili za Ndugai,katibu wa bunge,makinda,na mchawi Nape,lakini wameshndwa.
 
Mimi naamini vyombo vya habari vilimquote vibaya katibu wa bunge kuhusu kuzuia vyombo hivyo vikirusha moja kwa moja. Kwa nini naamini hivyo??? HATUWEZI KUWA NA KATIBU WA BUNGE MJINGA KIASI HICHO!!!
 
Mimi naamini vyombo vya habari vilimquote vibaya katibu wa bunge kuhusu kuzuia vyombo hivyo vikirusha moja kwa moja. Kwa nini naamini hivyo??? HATUWEZI KUWA NA KATIBU WA BUNGE MJINGA KIASI HICHO!!!

Ndivyo alivyosema na alisisitiza sana. Inaonesha hawa jamaa wana kampuni ya video edditing sasa wanatafuta soko lenye uhakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…