Kipanya: Kumekucha kumekucha

Rangi ya purple- ACT WAZALENDO [Maji] & rangi ya green CCM [Mimea]

Maana yake.

Act wameamua kuisaidia CCM Kuimarika kwa kuissuport ili ipate nguvu kama mnavoona hapo rangi ya mimea iyo ina rangi ya kijani ipo kwenye korongo inapataji maji yanayofanya mimea inawili na kukua kama mnavoona hapo
 
ACT wazendo wanaonekana na kupata nafasi ya kuwa maarufu baada ya chadema kudhoofishwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…