Aache uchochezi... Wabongo sio ngazi za juu wala za chini WOTE WANAPENDA KUPIGA PESA KWA KUUMIZA WENZAO, muhimu wanunuzi tusiumie HATA WACHINA WABEBE ILALA YOTE TU SISI HATUNA SHIDA😁😂
A
Aache uchochezi... Wabongo sio ngazi za juu wala za chini WOTE WANAPENDA KUPIGA PESA KWA KUUMIZA WENZAO, muhimu wanunuzi tusiumie HATA WACHINA WABEBE ILALA YOTE TU SISI HATUNA SHIDA
mdoli hujambo?
Huyu mwamba atarudi na panga mkononi
Kwani nyingi waliokuwa wanauza happ Kariakoo zilitoka wap?Hii inaweza kusababisha utegemezi wa bidhaa na huduma kutoka kwa wageni badala ya kukuza uchumi wa ndani
Mama amefungua nchi
Kama jibu unalijua! Kwa nini unauliza swali?Kwani nyingi waliokuwa wanauza happ Kariakoo zilitoka wap?
🤣Mdoli mama yako
Rhetoric Question.Kama jibu unalijua! Kwa nini unauliza swali?
Wazawa wanatuumiza sana na bei zao za kipuuziHii inaweza kusababisha utegemezi wa bidhaa na huduma kutoka kwa wageni badala ya kukuza uchumi wa ndani
Huko Moshi manispaa Kuna soko la bilion 5 limejengwa na Mwajuma na Samia😂
Huyu Sasa atapandisha bei