Kipanya kaua bendi leo

heyo! Heyo!mimi ni daktare mkare wa mistare,mkware wa vibinti vya kitaare,
nashusha mistare mbele ya mkwe.ree halafu natinga ikulu kama mwigulu mchemba mwanachemba nakuita chemba ukinzingua natambaa kama msambaa makambaa

Niikibuka niko tilalila kama mr blue huku nawacheki chelsea the blue,huuwezi moto huu mkuu........
 
Huwa namkubali Kipanya kama navyomkubalia Nathan na pia GADO.........endelezeni juhudi zenu za kuikumbusha jamii yetu wajibu!

Mkuu nakubaliana na wewe
jamaa wanafanya kazi kubwa sana kuelimisha na kutoa uovu wa jamii na kuuonyesha kwa uhalisia wake
 
Big up kwa mwanafunzi aliyeshusha mistari kwenye paper ya form four.. Serikali imedata.. Utampimaje mtu kwa somo ambalo hajawai kumuona mwalimu toka form one mpaka anafanya mtihani.. HUko si kutaka vyeti(karatasi) na si ujuzi
 
Ha ha ha sio kama nacheka yo yo bali nadesa nawashukru majita wangu wa east zuu hata hawa wasahishaji wakinifelisha naendeleza fani yo yo
 
Ha ha ha sio kama nacheka yo yo bali nadesa nawashukru majita wangu wa east zuu hata hawa wasahishaji wakinifelisha naendeleza fani yo yo
yo yo yo heshima pesa book mzigo,
mishemishe mpaka niwe kigogo mzito kama zitto toka pande za kigo...nipige bingo sitaki ajizi kama aziz wa dowan na nambari wani,,nina division one uraiani.....yoyoyo
 
Aiyayayayaaaaa........Hiyo tunaita maneno mbofu mbofu
 
sasa hivi elimu ya Tanzania inaangalia zaidi quantity ya wanaosoma sio quality ya elimu,,sifa kubwa kila mtu yuko shule lakini jeee huko kuna quality ya elimu kweli????...===kweli dunia inaangalia vyeti mistari imetulia,,,
 
Kila mara utamsikia mbunge wa ccm akitaja idadi ya shule kuwa kuna maendeleo wakati wa matokeo ya mtihani ndo utajua watanzania wako gizani. Hata hawawezi kuandamana kutangaza maafa ya kielimu> Ndo maana viongozi wote ni vilaza na wote tumekuwa viraza
 
na ndiyo maana clouds fm walimtemesha job kwa kuhofia uswahiba wao na governmnet ungeisha kabla hata ya 2015 kufika
 
yo yo yo heshima pesa book mzigo,
mishemishe mpaka niwe kigogo mzito kama zitto toka pande za kigo...nipige bingo sitaki ajizi kama aziz wa dowan na nambari wani,,nina division one uraiani.....yoyoyo

duuuuuuuuuu! aiseee we mkareeeeeeeee!
 
yo yo yo heshima pesa book mzigo,
mishemishe mpaka niwe kigogo mzito kama zitto toka pande za kigo...nipige bingo sitaki ajizi kama aziz wa dowan na nambari wani,,nina division one uraiani.....yoyoyo

Yo yo yo we ni mkare ingawa ni dakitare mzee pindare kasarendare nachana kama rwakatare juu ya Jforum,vp bilah bado makamu? Sihiingizi udini hata kama sio mwisilamu yo yo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…