Nifah
JF-Expert Member
- Feb 12, 2014
- 34,409
- 82,301
Nimefarijika sana na huo ndio ukweli.
Atakayekataa hana akili nzuri.Magufuli kazidiwa tena kwa mbali sana na mzee smart Lowassa.
Nimefarijika sana na huo ndio ukweli.
kipanya mzushi,huo ni mwanzo,ndio maana kaweka round ya pili,ataendeleza round hizo ndio mtajua alikuwa anaenda wapi!
Bora hata wewe hupendi siasachuchu za mrembo aliyenyanyua kibao..
Slaa na Magufuli wamezaliwa siku moja na mwezi mmoja
na wote ni wakatoliki.......connect the dots...wote wanamsikiliza Pengo...Lowassa na Gwajima
UKAWA TOLEO JIPYA HAIFAI KUPEWA DHAMANA YA KUONGOZA TAIFA HILI PENDWA LA JMT, NI GENGE LA WAHUNI, WASALITI WA MISINGI YAO, VIGEUGEU, WANAFIKI NA WAZANDIKI WALIOTUKUKA, watanzania hatupo tayari kuuza nchi yetu, TUMESHASEMA KWA WINGI KUWA HATUTACHAGUA UKAWA TOLEO JIPYA.
Mliotolewa ufahamu endeleeni na UZEZETA WENU.
KP nae bhaaana
![]()
Hebu someni vizuri jamaa ameandika Slaa sio Lowasa! ama sijaelewaMmh, sijui kama ni kweli,
Ila Lowasa ni Lutheran (KKKT).
Slaa na Magufuli wamezaliwa siku moja na mwezi mmoja
na wote ni wakatoliki.......connect the dots...wote wanamsikiliza Pengo...Lowassa na Gwajima