Kingo yuko vizuri lakini yeye hua ni wachache sana wanaomuelewa kwani picha zake ni mchoro tuu hakuna maelezo yaani kuzitambua inaumiza kichwa sanaHivi zile za kingo nani mchoraji? nae yupo smart kiutunzi
Ni vimbwanga sio vimbanga [emoji23] [emoji23]Vimbanga
Alieleza kimzaha kwa waandishi kuwa, hata michoro ya katuni za Kp huziangalia pia. Akaongeza kuwa kutotana na michoro ile, sazingine humpelekea hadi aende kwenye kioo ku-"confirm" kama ni kweli ana umbile kama hilo la "kichwa mbonyeo".Alimuambiaje?Nukuu yake tafadhali mkuu.
Scomplex questions simple answers
Ngosha fulani hivi anaitwa james gayoHivi zile za kingo nani mchoraji? nae yupo smart kiutunzi
[emoji23] [emoji23] [emoji23] Asante mkuu.Alieleza kimzaha kwa waandishi kuwa, hata michoro ya katuni za Kp huziangalia pia. Akaongeza kuwa kutotana na michoro ile, sazingine humpelekea hadi aende kwenye kioo ku-"confirm" kama ni kweli ana umbile kama hilo la "kichwa mbonyeo".
Were going ×Thanks KP,kwani inavyoonekana kweli tumeingia chaka.,kwa mbaaaali ninakiona kibao cha..............
View attachment 431146
Were going bila ya katiba mpya iliyobora.
James GayoHivi zile za kingo nani mchoraji? nae yupo smart kiutunzi
Ahsante ndugu,unajua tena nimesoma na Magu shule moja.Were going ×
We are going.. √