Nadhani hii ya leo sio kuhusu siasa bali ni michezo.......
Ni kama shabiki wa kijani anasoma gazeti kwa kujificha ficha ili asionekane......
Na pia anasoma habari nyengine badala ya kusoma habari zinazohusu upande wa nyekundu ambazo kimuonekano zimetawala katika gazeti analolisoma