Kipanya: He is free at last

Kipanya: He is free at last

Sky Eclat

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
58,636
Reaction score
220,349
1582612145259.png
 
Watu wanamwoga kipanya ati ana akili kwenye uchoraji wake kumbe ni mswahili moja asiyejitambua

Anachora vitu vya hovyo kuwafurahisha ndugu zake
 
Sasa kipanya ana kipi cha ziada anachonizidi kwanza ana akili ndogo nilikiliza redio mara moja wakati fulani nikaambiwa Huyu ndio mchoraji hali anaongea ujinga ujinga tu he is not smart at all reasoning yake ipo chini
Sio proffesional hata kidogo kwani anapenda kuuliza maswali yanayofurahisha moyo wake na watu wa nature yake he is too shallow

Kuna binti alikuwa anatangaza nae yule binti amemzidi vitu vingi kwenye reasoning ila akiongea kidogo tu
Usijilinganishe na Kipanya, wewe unavyoandika vitu vya hovyo hovyo ili upate bk7
 
Watu wanamwoga kipanya ati ana akili kwenye uchoraji wake kumbe ni mswahili moja asiyejitambua

Anachora vitu vya hovyo kuwafurahisha ndugu zake
Sasa utamlingnisha na wewe buku saba fc? Hivi jana ni wewe ndiye ulijichanganya kwa kuleta uzi na ukajijibu baada ya mods kuunganisha ids zako? Au siyo wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kipanya ana kipi cha ziada anachonizidi kwanza ana akili ndogo nilikiliza redio mara moja wakati fulani nikaambiwa Huyu ndio mchoraji hali anaongea ujinga ujinga tu he is not smart at all reasoning yake ipo chini
Sio proffesional hata kidogo kwani anapenda kuuliza maswali yanayofurahisha moyo wake na watu wa nature yake he is too shallow

Kuna binti alikuwa anatangaza nae yule binti amemzidi vitu vingi kwenye reasoning ila akiongea kidogo tu
Hata wewe unaandika na kuonekana mrengo wako waziwazi. Maana yake unaandika kinachokufurahisha na kinachofurahisha watu wa aina yako.

Umeandikwa kitoto mno sentensi zinazokujibu wewe mwenyewe.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa kipanya ana kipi cha ziada anachonizidi kwanza ana akili ndogo nilikiliza redio mara moja wakati fulani nikaambiwa Huyu ndio mchoraji hali anaongea ujinga ujinga tu he is not smart at all reasoning yake ipo chini
Sio proffesional hata kidogo kwani anapenda kuuliza maswali yanayofurahisha moyo wake na watu wa nature yake he is too shallow

Kuna binti alikuwa anatangaza nae yule binti amemzidi vitu vingi kwenye reasoning ila akiongea kidogo tu
Jamani imetosha wenye akili msimquote tena huyu popoma

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sasa utamlingnisha na wewe buku saba fc? Hivi jana ni wewe ndiye ulijichanganya kwa kuleta uzi na ukajijibu baada ya mods kuunganisha ids zako? Au siyo wewe?

Sent using Jamii Forums mobile app

Ha ha ha ha Mkuu, kumbe Mods walifanya kazi ile ya kuunganisha id za jamaa..? Kudos kwa Mods.. Members kama hawa ndo wanashusha heshima ya jukwaa..
 
Back
Top Bottom