Kipanya Bwana!

Nimecheka sana na baada ya hapo nikasikitika sana navumilia kuwa Mtanzania
 
Huyo mzazi ana matatizo na anauwa 'thinking' ya huyo mtoto, alitakiwa kumwambia kabla ya kufa vilikuwaje, na vilikufa vipi, na vikifufuliwa itakuwaje? Hata hivyo nchini bado kuna viwanda je, bidhaa zake zikoje? kwa nini mtu achague kiatu cha Uingereza na kuacha cha Tanzania hata kama hajaambiwa kipi ni cha wapi.

Mfano hapa, kama hizi bidhaa zimetapakaa kwenye mwili wa huyu jamaa hazizalishwi nchini angetembea bila kuvaa - na hali ilijitokeza miaka ya 80s, watu walikosa viatu na nguo ndipo Dr. Salim kumshauri marehemu Nyerere kuingiza mitumba, n.k.

 
Ii nchi au burudoza kweli tunavumilia kuwa watanzania
 
Ukitaka kuielewa vizuri hii katuni ya KP angali RANGI za nguo walizovaa MTOTO na BABA. Pia jaribu kujiuliza ,ni kwanini KP hutumia sana BLACK BACKGROUND katika katuni zake?
Interesting.....
 
Kipanya katika ubora wake 😀😀
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…