Nchi ngumu sana hii, wanatafuta ile billion 4 za kuzikana, zilizoyeyuka kwenye mazingira ya utataLisemwalo lazima litakuwepo tu.
Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA.
Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama gari lako linadaiwa.
Wao akili zao wote ni kuangalia madeni na kukupiga faini tu hata kama gari lina mapungufu hawajali.
Hongera sana kipanya kwa kuendelea kuibua mapungufu kwenye jamii yetu ya watanzania.
View attachment 2627210
Sasa kazi ya traffic si kuangalia na madeni ya gari yanayohusu field yao ?!!!Lisemwalo lazima litakuwepo tu.
Ukiwa ni dereva utakubaliana na mawazo ya kipanya kuwa sass traffic wanafanya kazi ya TRA.
Ukiona wanalisimamisha gari kazi ya kwanza kuifanya ni kuangalia kama gari lako linadaiwa.
Wao akili zao wote ni kuangalia madeni na kukupiga faini tu hata kama gari lina mapungufu hawajali.
Hongera sana kipanya kwa kuendelea kuibua mapungufu kwenye jamii yetu ya watanzania.
View attachment 2627210
Upo sahihi sana FayzaMarafiki wite ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
Wanatia hasira sana kwa wanavyojali kupokea vi parcelDah! Ila kiukweli askari wa usalama barabarani wanakera sana. I wish wasingekuwepo kabisa, halafu ziwekwe tu camera za cctv kote nchini, za kuangalia mienendo ya madereva wawapo barabarani.
Rushwa zao ni hizi ndogo ndongo sio grand corruption kama zile za akina saa100Marafiki wite ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
Una shida gani bibie!! Siku hizi una changamoto kubwa kwenye uandishi wako! Umeanza kupoteza uwezo wa kuona na kuandika, kutokana na uzee?Marafiki wite ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
Ila hizo rushwa nazo zinakera. Wamekuwa wanawavizia sana madereva wawapo barabarani, ili tu kutengeneza mazingira ya kupokea rushwa.Rushwa zao ni hizi ndogo ndongo sio grand corruption kama zile za akina saa100
Au za t1.5 na kujenga airport kijijini kwakeRushwa zao ni hizi ndogo ndongo sio grand corruption kama zile za akina saa100
Mkuu macho kupoteza uwezo wa kuona siyo issue maana kuna miwaniUna shida gani bibie!! Siku hizi una changamoto kubwa kwenye uandishi wako! Umeanza kupoteza uwezo wa kuona na kuandika, kutokana na uzee?
Angekuwa ameandika mtu mwingine haya maelezo yako hapa, ungemkosoa faster kwa kumwambia hivi huko shuleni mlienda kusomea ujinga?
Muulize Mo kama ana shida na traficNina uwezo wa kuilisha familia yako kwa maisha yenu yote
Tatizo la Tanzania hakuna wa kumkagua mwenzake, maana kila mtu ana maduduMarafiki wite ni wezi na wala rushwa wakubwa katika Tanzania.
Takukuru kama wapo "genuine" waweke kitengo cha kufatilia matrafiki (mapolisi kwa ujumla) wa Tanzania na mali walizonazo kama zinaendana na vipato vya mishahara yao.
Mawee.
Wanakutana saa ngapi kwanza?Muulize Mo kama ana shida na trafic