the truecaller
JF-Expert Member
- May 8, 2019
- 809
- 940
well said 100% mkuu,alizowea enzi za ritz 1 akipewa promo za vile vi project uchwara vya maisha plus sasa hakuna tena imekuwa bifu.Huyu kipanya ni mchumia tumbo kama zito na mbowe hana lolote
State agent
Kwa tunaomfahamu Masoud Kipanya tunamjua ni mchumia tumbo. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 alikuwa na kampuni yake KP. Ipo? Si aliifilisi kwa kukimbiza sketi za Jangwani na Kibasila, mwishowe akarudi kuganga njaa Clouds! Huyo anawatisha ninyi wa Ufipa msiomjua!
well said 100% mkuu,alizowea enzi za ritz 1 akipewa promo za vile vi project uchwara vya maisha plus sasa hakuna tena imekuwa bifu.
huyu na genge linalomtumia tunawajua na sumu iliyowajaa tunaijua sababu yake.
Huyu kipanya ni mchumia tumbo kama zito na mbowe hana lolote
State agent
Kwa tunaomfahamu Masoud Kipanya tunamjua ni mchumia tumbo. Mwanzoni mwa miaka ya 2000 alikuwa na kampuni yake KP. Ipo? Si aliifilisi kwa kukimbiza sketi za Jangwani na Kibasila, mwishowe akarudi kuganga njaa Clouds! Huyo anawatisha ninyi wa Ufipa msiomjua!
Haa ππππππIla we jamaa jiwe alitakiwa akupe hata kazi ya upishi jikoni ikulu maana kila uzi unamtetea hata kama utaandika pumba unatimiza wajibu wako vizuri kwa kulipwa buku 7 yako wengine wamekula buku 7 ila hawamtetei kuogopa kuzinguliwa.
Nasikia huyo ni yule wa nzegaIle Picture Ya Kiongozi Akiwa Kaweka Simu Sikio Moja Na Microphone Sikio Jingine Iwekeni Hapa Haraka
[emoji3][emoji16][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji2][emoji1][emoji1][emoji1][emoji28][emoji28][emoji10][emoji849][emoji849][emoji849][emoji849]