Kipanya awakejeli akina dada

Kipanya awakejeli akina dada

Nucky Thompson

JF-Expert Member
Joined
Sep 20, 2016
Posts
2,194
Reaction score
4,802
WhatsApp Image 2017-01-10 at 10.54.40 AM.jpeg
 
hahahaaaaaa hajawakejeli bana ila kaongea kinachoendelea sasahivi kwa dada zetu baada ya mirija yao kuzibwa
 
Hajakejeli kaweka ukweli. Wanawake kuna saa tunajisahau sana,ukipata hela kidogo tu nyodo tele,dharau kujiona wa thaman wakati hata akiba haweki hana mali za maana. Likimkuta la kumkuta utamuonea huruma.

Mfano mzuri upo kwa hawa wadada wa bongo movie walikua na kufuru za hali ya juu kisa vigogo kuwahonga,saiv kiko wapi,wanagombania vijana wa bongo fleva.
 
hahaha mimi kanchekesha huyo kuku alivoshangaaaa..kipanya bana
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom