Jack Daniel JF-Expert Member Joined Sep 23, 2021 Posts 4,734 Reaction score 19,230 Mar 28, 2025 #2 Code rahisi kuliko zote. Na wazi watawala wanakula tu Mali za umma,hata CAG akija kutoa report hakuna hatua yeyote itachukuliwa
Code rahisi kuliko zote. Na wazi watawala wanakula tu Mali za umma,hata CAG akija kutoa report hakuna hatua yeyote itachukuliwa
PureView zeiss JF-Expert Member Joined Sep 5, 2016 Posts 14,441 Reaction score 46,439 Mar 28, 2025 #3 Ya umma
Beesmom JF-Expert Member Joined Oct 4, 2022 Posts 37,420 Reaction score 92,252 Mar 28, 2025 #4 Jack Daniel said: Code rahisi kuliko zote. Na wazi watawala wanakula tu Mali za umma,hata CAG akija kutoa report hakuna hatua yeyote itachukuliwa Click to expand... Ni hatari sana
Jack Daniel said: Code rahisi kuliko zote. Na wazi watawala wanakula tu Mali za umma,hata CAG akija kutoa report hakuna hatua yeyote itachukuliwa Click to expand... Ni hatari sana
C Covax JF-Expert Member Joined Feb 15, 2021 Posts 13,680 Reaction score 41,152 Mar 28, 2025 #5 Jack Daniel said: Code rahisi kuliko zote. Na wazi watawala wanakula tu Mali za umma,hata CAG akija kutoa report hakuna hatua yeyote itachukuliwa Click to expand... Hiyo office ya CAG ilisha kua ya kisiasa haina meno ya ku-prosicute mtuhumia hata iwe na ushahidi wa kila aina, Bunge letu ni la hovyo kila mtu anajua kaingia je hapo alipo, hi nchi inahitaji total overhauling.
Jack Daniel said: Code rahisi kuliko zote. Na wazi watawala wanakula tu Mali za umma,hata CAG akija kutoa report hakuna hatua yeyote itachukuliwa Click to expand... Hiyo office ya CAG ilisha kua ya kisiasa haina meno ya ku-prosicute mtuhumia hata iwe na ushahidi wa kila aina, Bunge letu ni la hovyo kila mtu anajua kaingia je hapo alipo, hi nchi inahitaji total overhauling.
The Legacy JF-Expert Member Joined Jun 1, 2022 Posts 8,404 Reaction score 16,508 Mar 28, 2025 #6 Amefanya iwe rahisi ili mama aelewe maana ana kichwa kigumu yule