Ni hatari sanaCode rahisi kuliko zote.
Na wazi watawala wanakula tu Mali za umma,hata CAG akija kutoa report hakuna hatua yeyote itachukuliwa
Hiyo office ya CAG ilisha kua ya kisiasa haina meno ya ku-prosicute mtuhumia hata iwe na ushahidi wa kila aina, Bunge letu ni la hovyo kila mtu anajua kaingia je hapo alipo, hi nchi inahitaji total overhauling.Code rahisi kuliko zote.
Na wazi watawala wanakula tu Mali za umma,hata CAG akija kutoa report hakuna hatua yeyote itachukuliwa