Magufuli tunakuombea uushinde upinzani utakao pata kutoka ndani ya CCM. Vigogo Wa CCM maana wao ndio wakwepa kodi, wezi, wala rushwa, Wa tembo, majangili, wenye kuikodisha Tanesco majenereta, Wa ardhi na wafanya uchafu wote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.