Kipanya ana maana gani hapa?

Kipanya ana maana gani hapa?

Yaani Chadema wamejianika usiku giza nene nguo haitakauka ng'o, yaani ni wazi hakuna demokrasia sbb mwenyekiti ni yule yule miaka yote, mambo yatakuwa yale yale, ila pundamilia humu hawataelewa
Rubbish
 

Attachments

  • A0CDEDB7-E9A9-4364-A8FD-E17593B169BB.png
    A0CDEDB7-E9A9-4364-A8FD-E17593B169BB.png
    197.4 KB · Views: 6
Yaani Chadema wamejianika usiku giza nene nguo haitakauka ng'o, yaani ni wazi hakuna demokrasia sbb mwenyekiti ni yule yule miaka yote, mambo yatakuwa yale yale, ila pundamilia humu hawataelewa
Nani alishamrithi Cheyo au Mrema? Kwani chama ni Chadema tu? Nyerere alikuwa mwenyekiti wa Tanu tangu 1954 mpaka anang'atuka 1985 bado alikuwa mwenyekiti na tunaimba zidumu fikra za mwenyekiti! Siku chama chochote cha upinzani kikichukua nchi, kitabadili gia ingawa nchi nyingi hata tunazoiga demoklasia zao kama Uingereza mwenyekiti anaweza kukaa miaka 20 sababu kuwa mwenyekiti hakuna uhusiano na kuongoza nchi. Waziri mkuu wa Uingereza siyo mwenyekiti wa chama chake.
 
Wengine wote wanarukaruka wewe ndio umekaribia kabisa.
Tanzania tupo gizani, hali ni tete lakini pamoja na hilo bado Chadema inang'ara.

Ukiangalia uchaguzi wao wa juzi utaona wazi bado wanakubalika na wanaonyesha nia.
WANANG'ARA GIZANI

Sent using Jamii Forums mobile app
Chama kinajitoa kwenye uchaguzi lakini bado kinachaguliwa!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom