Kipanya aibuka na watalii Tanzania

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Ameendelea kutuletea kitendawili kigumu zaidi maana nimetoka kapa au na mswaki.

Tafadhali sana kwa wale wataalam wa habari picha na wenye weledi wa kutosha kuchanganua mambo tuelewesheni ni kitu gani alimaanisha huyu Sugu.
Screenshot_20210106-093443.jpg
 
Ameendelea kutuletea kitendawili kigumu zaidi maana nimetoka kapa au na mswaki.

Tafadhali sana kwa wale wataalam wa habari picha na wenye weledi wa kutosha kuchanganua mambo tuelewesheni ni kitu gani alimaanisha huyu Sugu. View attachment 1669632

Sijui lakini. Ila nijuavyo watalii huwa na iternary ya safari zao. Kwa mfano, Ataingia Africa kupitia Africa kusini kwa ndege, atatalii Africa kusini maeneo anayopenda, kisha Ataingia Msumbiji kwa gari, baadae Victoria falls Zimbabwe na Zambia kisha Ataingia TZ na kuondoka Africa kupitia Nairobi.

Safari inayofuata anaweza kwenda Madagascar, Comoro, Shelisheli nk. Sasa nashindwa kuelewa huu ulazima wa mtalii kuja TZ kila mara ilhali angependa kufika na kuona Mambo mapya. Walau Mimi ningekuwa mtalii nisingekuwa na lazima kurejea maeneo niliyokwishapitia awali. Unless niwe nimeoa huko.
 
Kabisa inabidi TTB wawahoji watalii kwa kutumia taasisi zilizowaleta kupata taarifa zao! why hawarudi? Nilisoma moja ya feedback ya mtaalii iliyofanyiwa tafsiri isiyo rasmi na Malisa GJ ni kwamba TZ tuna Huduma Mbovu na Hatuna Customer care kabisa ingawa tuna vivutio vya kufa MTU.
 
Kigwa na wenzake wao walikuwa watazama matumbo yao tu
 
Kabisa inabidi TTB wawahoji watalii kwa kutumia taasisi zilizowaleta kupata taarifa zao! why hawarudi? Nilisoma moja ya feedback ya mtaalii iliyofanyiwa tafsiri isiyo rasmi na Malisa GJ ni kwamba TZ tuna Huduma Mbovu na Hatuna Customer care kabisa ingawa tuna vivutio vya kufa MTU.
hilo ndilo jibu RASMIIIII
 
Sijui lakini. Ila nijuavyo watalii huwa na iternary ya safari zao. Kwa mfano, Ataingia Africa kupitia Africa kusini kwa ndege, atatalii Africa kusini maeneo anayopenda, kisha Ataingia Msumbiji kwa gari, baadae Victoria falls Zimbabwe na Zambia kisha Ataingia TZ na kuondoka Africa kupitia Nairobi.

Safari inayofuata anaweza kwenda Madagascar, Comoro, Shelisheli nk. Sasa nashindwa kuelewa huu ulazima wa mtalii kuja TZ kila mara ilhali angependa kufika na kuona Mambo mapya. Walau Mimi ningekuwa mtalii nisingekuwa na lazima kurejea maeneo niliyokwishapitia awali. Unless niwe nimeoa huko.
Mkuu hivi kuna mtu asiyependa kitu kilicho kizuri na kilicho bora?
 
Hilo sijasema!

Watalii wanapenda adventure kupindukia. Ingekuwa issue ni ubora pekee Watalii wasingetembelea Afrika Kusini. Maana huko kuibiwa mali zao, kufanyiwa uhuni ni mambo ya kila siku! Lakini utawakuta wamo tu.
 
Sawa mkuu
 
Ameendelea kutuletea kitendawili kigumu zaidi maana nimetoka kapa au na mswaki.

Tafadhali sana kwa wale wataalam wa habari picha na wenye weledi wa kutosha kuchanganua mambo tuelewesheni ni kitu gani alimaanisha huyu Sugu. View attachment 1669632
kitendo cha kuuliza watalii kwa nini awarudi kina nishangaza sana kwani nchi ya kutalii ni moja tu duniani yaani tanzania? kwa maana nyingine mtu afanye utalii wa kurudi kila wakati tanzania :cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool::cool:👻👻👻👻👻👻👻👻
 
Ameendelea kutuletea kitendawili kigumu zaidi maana nimetoka kapa au na mswaki.

Tafadhali sana kwa wale wataalam wa habari picha na wenye weledi wa kutosha kuchanganua mambo tuelewesheni ni kitu gani alimaanisha huyu Sugu. View attachment 1669632
Sasa warudi kuangalia nini tena wakati mlima ni ule ule ameshaupanda,ngorongoro kashaenda mikumi Zanziba na kwingineko.Kurudi tena kuja kuanagalia vitu hivyo hivyo mi upuzi ambao hata mimi siwezi kufanya.Nchi nyingine kuangalia vitu vingine
 
Siwezi kuchoma nauli na gharama nyimgine kutembelea eneo moja wakati duniani kuna maeneo mengi ambayo ukisema utalii basi huwenda usiyamalize
 
Back
Top Bottom