Huyu rais wa chadema anafanya vizuri sana..
Corona inaua sanaZama za JK aliitwa rais dhaifu huku waliomuita dhaifu wakitapanya mali za umma
JPM amefanya kazi kubwa sana kuundoa ule udhaifu, kujenga miundombinu na mifumo ya serkali, kutengeneza rasilimali watu akiwemo Rais wetu SSH pamoja na kuheshimisha serikali, chama CCM na nchi
SSH amewakamata wanachadema sasa wanahaha kurudi kundini
CCM iko imara imara sana..... haifi leo wala kesho
Hata wewe utakufaCorona inaua sana
Kipimo kifuatacho kwa Mama ni jinsi hali ya uchaguzi mdogo huko kwa VP utakavyoendeshwa, bahati mbaya my party imejitoaAmeanza na Dotto na Msigwa hakika huyu mama anajua
Hapo wajanja walikuwa wanakula chini kwa chiniYule msanii nguli leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia.
Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu.
Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.View attachment 1743780
Kwamba jiwe alikuwa na takataka nyingi chini ya kapeti.
Kapeti lilikuwa linasafishwa juu tu, mama kaamua kuliinua na kusafisha kuanzia chini ya kapeti
Anasafisha nyumba ila hatoi uchafu nje bali anaufagilia chini ya kapeti.
Bibie nakusarimia tuHouse keeping.
Yule msanii nguli leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia.
Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu.
Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.View attachment 1743780
We Mama mimi nimeoa na sitaki mchepuko,acha kunishobokea,Bibie nakusarimia tu
Samahani sikujua kama wewe lesbianWe Mama mimi nimeoa na sitaki mchepuko,acha kunishobokea,
Wewe ni punguani huna ujualo,wewe ni mzigo wa uchafu humu jf? unashobokea mwanaume utaletewa posa kiazi wewe,tafuta kazi ya kufanya kuliko kunifuatilia kidume niliyekukataa,usijipendekeze sina haja nawe,narudia tena nimesha oa huna nafasi,endelea kutafuta bahati yako kwa wengine,
Nilisha kwambia kua kajifundishe kuandika kwanza "Nakusarimia" ndio lugha gani wewe hamnazo?