Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Apr 5, 2021 #1 Yule msanii nguli leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia. Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu. Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.
Yule msanii nguli leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia. Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu. Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.
Sister Abigail JF-Expert Member Joined Sep 2, 2020 Posts 3,424 Reaction score 10,592 Apr 5, 2021 #2 Mama kakuta matakataka ndani ya nyumba anayasafisha na kuweka mambo sawa
Ngongo Platinum Member Joined Sep 20, 2008 Posts 21,204 Reaction score 37,555 Apr 5, 2021 #3 Mmawia said: Yule msanii nguri leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia. Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu. Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.View attachment 1743780 Click to expand... Mlengwa Mkuu ni Jiwe.
Mmawia said: Yule msanii nguri leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia. Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu. Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.View attachment 1743780 Click to expand... Mlengwa Mkuu ni Jiwe.
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Apr 5, 2021 Thread starter #4 Abigail Nabal said: Mama kakuta matakataka ndani ya nyuma anayasafisha na kuweka mambo sawa Click to expand... Anasafisha ghala?
Abigail Nabal said: Mama kakuta matakataka ndani ya nyuma anayasafisha na kuweka mambo sawa Click to expand... Anasafisha ghala?
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Apr 5, 2021 Thread starter #5 Ngongo said: Mlengwa Mkuu ni Jiwe. Click to expand... Jiwe alitufikisha hali tete
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,804 Apr 5, 2021 #6 Mmawia said: Yule msanii nguri leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia. Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu. Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.View attachment 1743780 Click to expand... Dah Kwa hiyo mama ndio atakua anamchora hivi
Mmawia said: Yule msanii nguri leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia. Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu. Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.View attachment 1743780 Click to expand... Dah Kwa hiyo mama ndio atakua anamchora hivi
Kasomi JF-Expert Member Joined Sep 3, 2014 Posts 11,027 Reaction score 20,411 Apr 5, 2021 #7 Mmawia said: Yule msanii nguri leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia. Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu. Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.View attachment 1743780 Click to expand... kipanya ana sifa.. anamanisha mama Samia ameikuta tanzania chafu, Ndo anaisafisha
Mmawia said: Yule msanii nguri leo tena kaibuka na juhudi za mama yetu rais Samia. Binafsi sijaelewa nini amelenga huyu msanii wetu. Kwa anaye elewa hii habari picha tafadhali atuelimishe.View attachment 1743780 Click to expand... kipanya ana sifa.. anamanisha mama Samia ameikuta tanzania chafu, Ndo anaisafisha
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Apr 5, 2021 #8 Kwamba jiwe alikuwa na takataka nyingi chini ya kapeti. Kapeti lilikuwa linasafishwa juu tu, mama kaamua kuliinua na kusafisha kuanzia chini ya kapeti
Kwamba jiwe alikuwa na takataka nyingi chini ya kapeti. Kapeti lilikuwa linasafishwa juu tu, mama kaamua kuliinua na kusafisha kuanzia chini ya kapeti
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Apr 5, 2021 Thread starter #9 Emmanuel Kasomi said: kipanya ana sifa.. anamanisha mama Samia ameikuta tanzania chafu, Ndo anaisafisha Click to expand... Anaondoa masalia ya jiwe
Emmanuel Kasomi said: kipanya ana sifa.. anamanisha mama Samia ameikuta tanzania chafu, Ndo anaisafisha Click to expand... Anaondoa masalia ya jiwe
Royal Tour JF-Expert Member Joined Oct 11, 2011 Posts 252 Reaction score 459 Apr 5, 2021 #10 Usichoelewa ww hapo ni nini? Mama anafanya usafi ndani ya nyumba tena yupo serious kweli kweli.
barafuyamoto JF-Expert Member Joined Jul 26, 2014 Posts 32,405 Reaction score 29,804 Apr 5, 2021 #11 Anasafisha nyumba ila hatoi uchafu nje bali anaufagilia chini ya kapeti.
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Apr 5, 2021 Thread starter #12 Chapa Nalo Jr said: Kwamba jiwe alikuwa na takataka nyingi chini ya kapeti. Kapeti lilikuwa linasafishwa juu tu, mama kaamua kuliinua na kusafisha kuanzia chini ya kapeti Click to expand... Anatoa uchafu wote hasa MATAGA
Chapa Nalo Jr said: Kwamba jiwe alikuwa na takataka nyingi chini ya kapeti. Kapeti lilikuwa linasafishwa juu tu, mama kaamua kuliinua na kusafisha kuanzia chini ya kapeti Click to expand... Anatoa uchafu wote hasa MATAGA
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Apr 5, 2021 Thread starter #13 Asam said: Usichoelewa ww hapo ni nini? Mama anafanya usafi ndani ya nyumba tena yupo serious kweli kweli. Click to expand... MATAGA wanatupiwa virago
Asam said: Usichoelewa ww hapo ni nini? Mama anafanya usafi ndani ya nyumba tena yupo serious kweli kweli. Click to expand... MATAGA wanatupiwa virago
The Icebreaker Platinum Member Joined Apr 24, 2014 Posts 34,396 Reaction score 103,816 Apr 5, 2021 #14 House keeping.
Chapa Nalo Jr JF-Expert Member Joined Dec 8, 2010 Posts 7,521 Reaction score 6,517 Apr 5, 2021 #15 Mmawia said: Anatoa uchafu wote hasa MATAGA Click to expand... Furaha yangu ni pale Kheri James atakapotupwa mazima hukooo
Mmawia said: Anatoa uchafu wote hasa MATAGA Click to expand... Furaha yangu ni pale Kheri James atakapotupwa mazima hukooo
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Apr 5, 2021 Thread starter #16 barafuyamoto said: Anasafisha nyumba ila hatoi uchafu nje bali anaufagilia chini ya kapeti. Click to expand... Anawafurusha MATAGA kama nyinyi
barafuyamoto said: Anasafisha nyumba ila hatoi uchafu nje bali anaufagilia chini ya kapeti. Click to expand... Anawafurusha MATAGA kama nyinyi
Behaviourist JF-Expert Member Joined Apr 8, 2016 Posts 39,924 Reaction score 95,729 Apr 5, 2021 #17 Mama anasafisha kinafiki,kamtoa Doto mvunguni kisha kamrudisha mvunguni!
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Apr 5, 2021 Thread starter #18 Chapa Nalo Jr said: Furaha yangu ni pale Kheri James atakapotupwa mazima hukooo Click to expand... Ameanza na Dotto na Msigwa hakika huyu mama anajua
Chapa Nalo Jr said: Furaha yangu ni pale Kheri James atakapotupwa mazima hukooo Click to expand... Ameanza na Dotto na Msigwa hakika huyu mama anajua
Mmawia JF-Expert Member Joined Aug 20, 2013 Posts 122,521 Reaction score 96,268 Apr 5, 2021 Thread starter #19 Behaviourist said: Mama anasafisha kinafiki,kamtoa Doto mvunguni kisha kamrudisha mvunguni! Click to expand... Kikubwa anamuandaa ili aweze kumtumbua vizuri
Behaviourist said: Mama anasafisha kinafiki,kamtoa Doto mvunguni kisha kamrudisha mvunguni! Click to expand... Kikubwa anamuandaa ili aweze kumtumbua vizuri
imhotep JF-Expert Member Joined Oct 13, 2012 Posts 61,236 Reaction score 98,406 Apr 5, 2021 #20 Carpet la Mwenda, alikuwa mauchafu yote anayafichia hapo😁 Nimeipenda hii.