EINSTEIN112
JF-Expert Member
- Oct 26, 2018
- 21,708
- 35,719
Kuna hatari ya kupimwa mkojo hapa.Aliyemuelewa Kipanya anijuze
Mi naona anamtafuta JPView attachment 976113
Ninini ni nini?kipanga ninini?
what is kipanga? kwenye heading ya uziNinini ni nini?
Huenda alitaka kusema 'kipanya'what is kipanga? kwenye heading ya uzi
Very simple. Hiyo ni warning, Airbus isigeuke papa.Aliyemuelewa Kipanya anijuze
Mi naona anamtafuta JPView attachment 976113
kipanga ninini?
Very simple. Hiyo ni warning, Airbus isigeuke papa.
Mapapa watahadhari.
Cartoonists huwa wanaacha sisi tutafsiri michoro yao kwa mtazamo wetu.So isijekula mapato mengine badala ya kuzalisha
OLE WAKO ufe tena...
Halafu kuna kijidudu kilikuwa kinafananisha akili zake na zako! Nilimtimulia mbali!! Cc cocochanelVery simple. Hiyo ni warning, Airbus isigeuke papa.
Mapapa watahadhari.