njumu za kosovo JF-Expert Member Joined Mar 9, 2017 Posts 4,853 Reaction score 11,776 Feb 12, 2025 #21 Al-mukheef said: Na fountain gates Click to expand... Lile lililosababisha Yanga wakaandaa keki juzi?
Al-mukheef said: Na fountain gates Click to expand... Lile lililosababisha Yanga wakaandaa keki juzi?
Al-mukheef JF-Expert Member Joined Feb 2, 2025 Posts 8,369 Reaction score 10,416 Feb 12, 2025 #22 njumu za kosovo said: Lile lililosababisha Yanga wakaandaa keki juzi? Click to expand... Yeah
Tumwesige senior JF-Expert Member Joined Jan 28, 2013 Posts 6,724 Reaction score 12,116 Feb 12, 2025 #23 Waliandaa na keki halafu wakabanwa mbavu na JKT TANZANIA,keki ilichacha jana baada ya TANZANIA PRISONS kuchapwa na LADAKI CHASAMBI akitupia kamba
Waliandaa na keki halafu wakabanwa mbavu na JKT TANZANIA,keki ilichacha jana baada ya TANZANIA PRISONS kuchapwa na LADAKI CHASAMBI akitupia kamba
Kipenzi Changu Platinum Member Joined Aug 24, 2011 Posts 59,432 Reaction score 139,493 Feb 12, 2025 #24 Zaidi ya hayo hizo cleansheets anazitafuta. Maana kuna mishuti anaitoa unabaki kushangaa tu
CAPO DELGADO JF-Expert Member Joined Aug 31, 2020 Posts 11,843 Reaction score 26,611 Feb 12, 2025 #25 Nitawakumbusha viongozi wa Simba kuboresha timu zaidi msimu Ujao na kuwatoa baadhi ya wachezaji. Maboresho angalau matano ya maana i. Beki wa kati 5, ii.kiungo wa ukabaji 6. iii.Mshambuliaji 9. Iv.kiungo mshambuliaji 10. WAANZE KUWASAHAU WACHEZAJI WAFUATAO. 1. Karabue chamue. 2. Agustine Okejepha. 3. Joshua Mutale. 4.Steven Mukwala. 5. Aishi Manula.
Nitawakumbusha viongozi wa Simba kuboresha timu zaidi msimu Ujao na kuwatoa baadhi ya wachezaji. Maboresho angalau matano ya maana i. Beki wa kati 5, ii.kiungo wa ukabaji 6. iii.Mshambuliaji 9. Iv.kiungo mshambuliaji 10. WAANZE KUWASAHAU WACHEZAJI WAFUATAO. 1. Karabue chamue. 2. Agustine Okejepha. 3. Joshua Mutale. 4.Steven Mukwala. 5. Aishi Manula.