hapo kuna sababu kubwa mbili
1. unaangalia vitu vya low quality, kuna kipindi nilikuwa nikicheza vice city kwenye pc kwa muda mrefu naskia kichefuchefu nikagoogle nikaona sio mimi tu wapo watu wengi wana tatizo hilo zile pixel zenye quality mbaya ndio tatizo.
2. kioo cha simu ni kibaya, inawezekana ikawa content unayoangalia ina quality nzuri ila display ya simu ndio mbaya.
pia unapoangalia display kama ya simu, computer, tv nk hakikisha chumba au eneo ulipo kuna mwanga wa kutosha, usitegemee mwanga unaotolewa na hio display