kajigi
Member
- Oct 5, 2013
- 49
- 12
Simu yangu nimeitumia kwa miaka mi3 sasa TECHNO H5, Juzi nimeiwasha ila nataka ku-slide nitoe lock ikawa inaonesha waves tu lakin ukigusa screen no response, button za pemben yaani ya kuwasha na za sauti zote zinafanya kazi na earphone natumia kupokea simu kama nimepigiwa... ila shida ni kwenye screen....naombeni suluhu ya jambo hili.. nn nifanye?