Kiongozi wa waasi asema wako karibu kuchukua ushindi, Ethiopia

Nini hasa wanakitaka waasi au wapiganaji wa ki Africa kwa baadhi ya nchi.
rais wa Ethiopia akifanya masihara jamaa watampiga Hadi ikulu kwake.hili ndo tatizo la majeshi kukaa muda mrefu bila bettle ,wangekuwa wanawapeleka huko afughanistan,daful ,kongo n.k,wanapata wapi muda wa kufikilia au kuwa na mzuka wa bettle ya wao kwa wao!!
 
America without doubt is behind .wameona nn kuhusu Ethiopia!!?? sipati jibu!! there is something hiden here!! Ukiniambia issue ni kuwa utawala wa states si kweli,au America imeona iitumie tigray kwa Kama pilot study kwa bala la Africa,kupenyeza hii sumu ya utawala wa states!! au hii vita imeanzishwa kimkakati hasa issue ni uchumi ,baada ya Ethiopia kuamua kujenga bwawa kubwa la kuzalisha umeme!?
 
Hapana Mkuu! Bado hujanishawishi kwa habari ya BBC! hawa wote bado ni Manzi ga Nyanza! Vyombo vya Western Media vyotee! Mkuu hivi! ...... labda humjui Mkoloni ni mtu wa namna gani? . au Colony Master.....
Unanichosha tu jamaangu
 
Mkono wa marekani upo nyuma ya waasi hawa. Maana vifaa wanavyotumia hawangeweza kuvinunua hata kwenye ndoto zao. America is busy destabilizing the horn of Africa.
Lini mtaacha hivi visingizio vyenu? Mara wakoloni, mara mabeberu,mara mbuzi jike daaah
 
BREAKING NEWS.

Wapiganaji wa TPLF wameziteka barabara Mbili Mhimu zinazounganisha Nchi ya Ethiopia na Djibout. Njia hizo ndizo zinazotumiwa na Nchi ya Ethiopia ili kuingia bidhaa kutoka nje kupitia bandari ya Djibout.

Ikumbukwe kuwa,Baada ya Eriteria kujitenga na Ethiopia,Nchi ya Ethiopia ilibaki na Nchi moja mshirika mwenye bandari ambaye Ni Nchi ya Djibout. Kutekwa kwa barabara hizo Muhimu kutasababisha usambazaji wa bidhaa Muhimu Nchini Ethiopia kuathirika.
 
Mkono wa marekani upo nyuma ya waasi hawa. Maana vifaa wanavyotumia hawangeweza kuvinunua hata kwenye ndoto zao. America is busy destabilizing the horn of Africa.
Mmarekani alichokipata Somalia hana hamu tena huko wala aweki mguu au kusambaza sumu anajua wanajitambua yeye anataka Nchi zisizojitambua..
 
Inaniuma sana ninapoona nchi za kiafrica zinapigana badala ya kujenga, Mungu ibariki Africa
Uwezi kukandamiza misingi na makubaliano tuliyojiwekea Kama nchi alafu watu wakae kimya tu kiss wewe ni kiongozi mwenye mamlaka....huo ndiyo upumbavu wa viongozi wengi wa ki Afrika.
 
Abiy Hana Cha kufanya,kiburi na utawala wa mabavu vimemponza,kikubwa akimbie na akatafute hifadhi nje ya nchi,hao tplf hawatanii na inaonekana wako well equipped.

Pole kwa abiy kwa kuishia kunawa mikono tu!!
Anko unajua chanzo cha ugomvi wao?
 
Back
Top Bottom