Kiongozi wa shambulio la kigaidi TZ na Kenya aumeuawa!

Kang

JF-Expert Member
Jun 24, 2008
5,495
2,252
Mmoja baada ya mwingine, wanakwenda na maji!!

Africa's most wanted al-Qaeda terror suspect shot dead at checkpoint.

Mohammed, who was reputed to run al-Qaeda in east Africa, operated in Somalia and evaded capture for over a decade after being accused of playing a lead role in the 1998 US embassy attacks in Nairobi and Dar es Salaam, which killed 240 people.

US secretary of state Hillary Clinton said, on a visit to Dar es Salaam, Tanzania: “Harun Fazul’s death is a significant blow to al-Qaeda, its extremist allies and its operations in East Africa. It is a just end for a terrorist who brought so much death and pain to so many innocents . . . and our own embassy personnel.”

Africa's most wanted al-Qaeda terror suspect shot dead at checkpoint - The Irish Times - Mon, Jun 13, 2011
 
Wacha watangulie kwenye haki. Wazidi kuuawa tu ila mbona majina yao yanachanganya sana....... yanaonekana kama ni ya ukoo mmoja hivyo al-Qaeda ni jumuia ya kiukoo nini?
 
Waache waendelee kuuawa tu maana hata wao wameua sana, sasa wakati wao nao umefika wa kutangulia mbele ya haki hata kama ni kwa ncha ya upanga waliouanzisha wenyewe. Omuregi anauliza mbona majina yanafanana ni ndugu au vipi mimi nadhani hata kama si ndugu ila kwa kuwa imani zao za kuuwa zinafanana basi hata majina yanaelekea kufanana tu kwani sidhani hata kama wanastahili kuitwa wenye imani yoyote hao!!
 
ni kikosi gani kilihusika na operation hiyo ? je ni vikosi vya serikali ya wasomali ? ama Jeshi la muungano wa Afrika ?
 
Siyo mbaya maana kwa mungu hakuna mahakama shurti apatiwe hukumu yake hapahapa.
 
Back
Top Bottom