Ndugu zangu Watanzania, ningependa kukosoa kauli ya Spika wa Bunge alioitoa juzi wakati wa ufunguzi wa Kikao na Kamati tatu za Bunge kuhusu "tozo za kadi za simu" kwa hili nina wasiwasi huenda Mheshimiwa huyu alishawahi kuwa muuza nyama Buchani(hana huruma), anasema kama Watanzania wanauwezo wa kumiliki Simu na kununua Pombe basi hata hiyo 1,000/= ni kiasi kidogo mno,
Ningependa kumuuliza yafuatayo...,
>>Anahisi kila anaemiliki Simu amejinunulia?
>>Alishajiuliza kwanini Mitandao imeweka huduma ya NIWEZESHE??
>>Wote wanaomiliki simu ni wanywa pombe??
>>Akili yake ktk kutafuta chanzo cha mapato imeishia ktk tozo za simu
Sina mengi zaidi ila nahisi hela anayopata ktk Vikao mbalimbali na kwakuwa ni nyingi mno basi anahisi hakuna wenye dhiki hapa Tanzania, kwahili nasema Makinda hatufai na bora Mungu amchukue mapema

Hata sio elimu, elimu mtaisingizia tu. Yule ni uwezo wake ndio huo. Shida ni kwetu sisi wapiga kura tunachagua watu wa hovyo kama hao.Mi nafikiri pia Elimu ya kuungaunga na uwezo wakufikiri ndio unaosababisha uchache wa busara kwa Viongozi wetu
Kwa umri huu nafikiri hana tena habari za mwezi mchanga wala mpevu, au anamaanisha nini?
Tumsamehe huu ni mwezi mchanga, una mambo mengi hajui ukubwa wa tatizo kwa wananchi masikini.
Mi nafikiri pia Elimu ya kuungaunga na uwezo wakufikiri ndio unaosababisha uchache wa busara kwa Viongozi wetu
Wanawake ndo walivyo! Kuna mama mmoja alikuwa anaitwa Mongela (sijui alipo sasa), wakati ule kodi ya kichwa iliyokuwa ikiwahusisha wanaume tu, yeye akapendekeza hata wanawake walipe pia. Ndo maana nasema wanawake ndivyo walivyo. Bottom power huwa inawadanganya sana!
ndugu zangu watanzania, ningependa kukosoa kauli ya spika wa bunge alioitoa juzi wakati wa ufunguzi wa kikao na kamati tatu za bunge kuhusu "tozo za kadi za simu" kwa hili nina wasiwasi huenda mheshimiwa huyu alishawahi kuwa muuza nyama buchani(hana huruma), anasema kama watanzania wanauwezo wa kumiliki simu na kununua pombe basi hata hiyo 1,000/= ni kiasi kidogo mno,
ningependa kumuuliza yafuatayo...,
>>anahisi kila anaemiliki simu amejinunulia?
>>alishajiuliza kwanini mitandao imeweka huduma ya niwezeshe??
>>wote wanaomiliki simu ni wanywa pombe??
>>akili yake ktk kutafuta chanzo cha mapato imeishia ktk tozo za simu
sina mengi zaidi ila nahisi hela anayopata ktk vikao mbalimbali na kwakuwa ni nyingi mno basi anahisi hakuna wenye dhiki hapa tanzania, kwahili nasema makinda hatufai na bora mungu amchukue mapema
Haya nabadilisha, wanawake ndivyo mlivyo. Kwenye orodha nimekuongeza wewe na yule mama wa malawi.Utafiti wako wote umekamilika kwa mifano ya wanawake wawili tu katika ulimwengu mzima? Kweli uwezo wako wa kufikiri ni finyu mno. Sasa nakuambia, 'No research, no right to speak '. Wanawake unaowajua duniani ni Ana Makinda na Getrude Mongela tu. Poor you!. Unapozungumzia jinsi mara zote haifai kusema, "wanaume" au "wanawake" maana inamaanisha wanaume wote duniani au wanawake wote duniani, labda kama utataja nchi. Lakini pia italeta maana kuwa ni wanaume au wanawake wote katika nchi hiyo. Kwa ustaarabu, jifunze kusema 'baadhi ya wanawake' au baadhi ya 'wanaume'. Sasa kwa hapa, umemjumlisha hata mama yako, na kutufanya tuelewe kuwa "bottom power yake inamdangaya".