Kiongozi wa mwenge

Kiongozi wa mwenge

Mchakato upoje hivi sasa?
Sifa za kuwa mkimbiza Mwenge wa Uhuru ni pamoja na:

1. Uzalendo – Awe na moyo wa kujitolea na kuipenda nchi.
2. Nidhamu ya hali ya juu – Awe na maadili mema na heshima kwa viongozi na jamii.
3. Afya njema – Awe na uwezo wa kimwili kushiriki katika mbio ndefu bila matatizo ya kiafya.
4. Uongozi – Awe kiongozi au mwenye ushawishi mzuri kwa vijana na jamii.
5. Elimu – Awe na kiwango fulani cha elimu (mara nyingi kidato cha nne au zaidi).
6. Uhusiano mzuri na jamii – Awe hajawahi kuwa na matatizo ya kinidhamu au kisheria.
7. Ushiriki katika shughuli za kijamii – Awe anahusika au kushiriki kikamilifu katika shughuli za maendeleo au kijamii.

Sifa zinaweza kutofautiana kidogo kulingana na mkoa au wilaya, lakini hizo ni za msingi.
 
Haupo serious wewe
Kivipi.
Ujue mkuu, kama jambo unalifahamu vinginevyo, weka data hapa.

Mimi nilichoandika ndivyo ninavyofahamu.

Kama utaratibu huo ulishabadilishwa, weka data nifahamu na siwezi kubishi.
 
Kuitembelea Tanganyika nzima Kwa gari sio Kazi ndogo!
 
Back
Top Bottom