Kiongozi wa mfano

Kiongozi wa mfano

Ngambo Ngali

JF-Expert Member
Joined
Apr 17, 2009
Posts
3,517
Reaction score
1,367
go2.jpg


Katika kutekeleza majukumu sijali hali mvua, jua, vumbi vyote vyangu
 
ndio uzuri wa kuwa na raisi mtu wa sanaa za bagamoyo
 
kuna watu wanaweweseka na vitu vidogo,tunataka twiga wetu.
 
kwani ye biskuti au toilet paper hadi aogope mvua???
 
si bahati tu mvua imemkuta hapo hapo eneo la tukio, ingekuwa inaanza kunyesha na yuko ndani ya ikulu asingetoka.
 
mambo ya msingi hafanyi.mafisadi wanapeta anakuja kumzuga nani ni vitu hivyo vya kitoto?hata mwanangu huwa namtuma dukani wakati mvua inanyesha na akaenda.
 
Back
Top Bottom