Kiongozi wa Masai

Laigwanani sasa wewe najua Zenji imevamiwa na vijana wako? wanaiba wake za watu na kuwaowa wazungu wooote? na eti kuna darasa huko kwenu la mambo ya pwani siku hizi? naona wanabonyeza kizenji kama kawaida, likini watu wanawaogopa na huenda wakafanyiwa sure soma www.mzalendo.net
 
sawa nimefahamu aitolewi kitu chochote kwa yeeero morani, au pafyumu imetia ile ya milimani?
Ogopeni wale rafikis ya Zanzibar, siku hizi wamegueka waarabu.
 
mimi iko Laigwanani kubwa kuliko ile na nywele nyeupe naibia watu umeme.
mi naongosa masai yote duniani
masai ndio inaipa ile jamaa kula na naibia watu umeme , au kwa vile nyie haitaki umeme??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…