Kiongozi wa Masai

Laigwanani sasa wewe najua Zenji imevamiwa na vijana wako? wanaiba wake za watu na kuwaowa wazungu wooote? na eti kuna darasa huko kwenu la mambo ya pwani siku hizi? naona wanabonyeza kizenji kama kawaida, likini watu wanawaogopa na huenda wakafanyiwa sure soma www.mzalendo.net
 
sawa nimefahamu aitolewi kitu chochote kwa yeeero morani, au pafyumu imetia ile ya milimani?
Ogopeni wale rafikis ya Zanzibar, siku hizi wamegueka waarabu.
 
Back
Top Bottom