Kiongozi wa ‘kina flani’ yamkuta ya kumkuta!

Hu Huyu jamaa naskia ndo alikua nyuma ya sakata la Lugumi na Mange Kimambi hadi kunyamaza kumkosoa Magufuli.
 
Tatizo ni nini si wajikotekeze tu hata kwa ma gongo mchezo uishe sio polojo zenu tumechoka EX SPY leta report lini tunazika hilo nguruwe.
 
Ila nyumbu mungu awasaidie tu, kuna kiongozi wenu jimbo la kawe kapata ajali kafa naye tusemaje? Hivi huyo E N mnaedai ni kiongozi wa wasiojulikana mna ushahidi wowote kuhusu hayo matukio ya kuteka?. Kwanini nyumbu mnakua watu wa kushutumu tu? Mnafurahia mtu kufa, nyinyi mtaishi milele?

2015 mlisema CDF ameuawa.. Mpaka Leo yupo. Kwanini mnakua na roho mbaya?
 
We jamaa wakikukamata wanakuchuna ngozi alive..
 
Furaha yenu ya TL kupigwa risasi na kina been kutoweka ilikuwa haihusiani na nyie pia kufa?
 
Point mkuu
 
Nyumbu wale waliokuleta duniani.
 

Chahali,
Wewe ni kati ya Wenye akili nyingiiii lkn can't accomplish anything

Kwa nini ulikimbia? Jemadari kakimbia vita
 
Duuuh JF Kiboko
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…