Course Coordinator
JF-Expert Member
- Jul 27, 2019
- 1,681
- 3,065
Hu
Huyu jamaa naskia ndo alikua nyuma ya sakata la Lugumi na Mange Kimambi hadi kunyamaza kumkosoa Magufuli.Naam,
Bwana E N amekutana na ‘Mkono wa Bwana’ jana jioni akitokea Bagamoyo.
Bonge la ajali! Miguu yote miwili kwishney.
Inadaiwa huyu ndiye huongoza operesheni za kuwaumiza watanzania.
Inavyoelezwa, ni beyond repair labda apelekwe ng’ambo. Akipelekwa huko pia tutawadondoshea kinachozidi kumkuta.
Ni siku chache kabla ya kurejea kwa Bwana T L.
Kumbuka, bwana mwingine almaarufu ‘Makichwa’ alikutana na ‘Mkono wa Bwana’ akanyakuliwa wakati Boss Kubwa akiwa ziarani Mbeya. Makichwa anadaiwa kuwa ndiye alikuwa ‘mashine ya kazi’.
Eid Mubarak