FaizaFoxy
Platinum Member
- Apr 13, 2011
- 92,872
- 109,170
Nitashangaa nikisikia kuna ambae hatakufa.Jibu ni kuwa kafa kwa maana zote. Ni mzoga wa kufukiwa . Hata kama itakuwa siri udongo hautashiba kamwe.
Haki yetu hiyo.
Nitashangaa nikisikia kuna ambae hatakufa.Jibu ni kuwa kafa kwa maana zote. Ni mzoga wa kufukiwa . Hata kama itakuwa siri udongo hautashiba kamwe.
Kwa hiyo Ben saa8.....Vita gani? Hiyo ya kuua Waislamu wasio na hatia huko Mkuranga, Kibiti na Rufiji? Hiyo ya kumpiga risasi Ben Saanane pale Magogoni? Hiyo ya kumteka Injinia Mwijabe, kisha kumbaka halafu kumuua? I would rather not accomplish anything kuliko kushiriki ushetani wenu. You are a mob of ruthless murderers.
Mngekuwa watu wa maana, Jiwe angeleta watu wa kumsaidia kazi kutoka Rwanda? Kama sponsor (kama wajua maana yake) hawaamini, why should the public?
Na kuwaonyesha sie tupo INTELLIGENT zaidi yenu angalia tunavyowapelekesha kwenye hii information warfare ya Nyaulingo. Running like headless chicken hamjui mkanushe kuwa Nyaulingo hajapata ajali au kapata ajali lakini hajafa... Mpo mpo tu.
Tumewapiga bao. And this is just the beginning. You can't compete with watu waliowazidi akili.
And by the way, might be too early for you idiots to write some of us off. Bado kuna miezi 14 hivi kabla ya October 2020.
Law 35 of Power: Never seem to be in a hurry—hurrying betrays a lack of control over yourself, and over time. Always seem patient, as if you know that everything will come to you eventually. Become a detective of the right moment; sniff out the spirit of the times, the trends that will carry you to power. Learn to stand back when the time is not yet ripe, and to strike fiercely when it has reached fruition.
Jambo lolote baya lenye kuumiza wengine hakuna linayemfurahisha labda awe mchawi.Watz wengi sana ni vichwa maji na ni rahisi sana kuwaaminisha mambo kwa sababu wengi ni wavivu wa kufikiri. Sasa mtu anayeitwa Kigogo kila anachowaambia na wao wanakipokea kama kilivyo za kuanza kukisambaza kwa zero brains wengine bila hata kuhoji authenticity wa taarifa zake
When was it santified ?Unaichafua magogoni kuwa ni golgota ya Ben sa8?
Sehemu takatifu ile..
Hahaaa nnacheka kama mazuri kumbe na wewe zwazwa eti baba, yaani kigogo.kawajaza mmejaa kama makenge yaan mnangoja muone turubai la msiba na hamtaliona mwisho kigogo atageuza stori
Hivi maana ya Meko ni nini?
Hakuna cha ajabu, tupo ambao hadi leo hii bado tunangoja turubai la msiba wa Ben Saanane au naye bado yuko hai? Je msiba wa Azory Gwanda? Yaani nyie mashetani, subirini tu, Mungu yupo.Hahaaa nnacheka kama mazuri kumbe na wewe zwazwa eti baba, yaani kigogo.kawajaza mmejaa kama makenge yaan mnangoja muone turubai la msiba na hamtaliona mwisho kigogo atageuza stori
Jiwe halitakufa kamweNitashangaa nikisikia kuna ambae hatakufa.
Haki yetu hiyo.
Mungu ni wetu sote malipo ni hapa Duniani avune alichopandaKafa tayari, Mimi nachoma mbuzi kwa furaha
Kukimbia sio tatizo.
kama wake ni nyumbu basi kwa kwako watakuwa simbilisi.Nyumbu wale waliokuleta duniani.
Nyumbu ni CCM kwani kule mbugani nyumbu ni wengi kama CCM mlivyokuwa wengi, usikariri uzushi mwingine ukautumia kama ngao ya kuzuia habari mpya kwa kigezo kuwa una Akili, Tambua unavyowaza na kufikiri ni tofauti na wengine wanavyodhani kila mtu anawaza na kufikiri kivyake, history za nyuma huwa zinabakia nyuma kwa mambo mapya, huwezi kulazimisha watu watumie history kwenye mda mwingine.Huu mkwara Wa kipuuzi sana aisee!
Namkumbuka mwehu mmoja wakati Wa uchaguzi mkuu 2015 alizusha cdf amekufa akakamatwa akapelekwa mahakamani akakomaa kuwa kama hajafa ajitokeze na wehu wenzie wakawa wanamjaza humu ndani as if cdf ndio anampa ugali...
Mwisho Wa siku cdf akatokezea siku kadhaa wakati Wa kuapishwa rais mkabaki kimya mpaka leo....
Haikutosha mlisadikisha watu humu eti rais Wa awamu ya tatu amejipiga risasi akajiua wakati akilazimisha wapinzani wakatae matokeo, mkasambaza habari kama moto wa petroli wenye kutumia akili zetu tukawatizama tu, siku ya kuapishwa rais ikulu mzee Wa awamu ya tatu akatokezea mkabaki mdomo wazi mkajifanya sio nyie mliosambaza upupu...
Kuna mambo mnazusha sana mnahisi wengine hawana critical thinking wote ni nyumbu migrant tu!!!
nae maneno mengi tu hamna kituMimi nasubiri tu Kigogo 2014 atupatie ya kwenye flash 32 za eneo la tukio.
ata mimi siamini hiloUnaamini kuwa anazo?