Kiongozi wa genge la majambazi awatishia Polisi Nairobi kwa clip ya video

Hiyo si desturi yetu ya kuchekelea mtu akifa. Ndiyo maana hutasikia Tanzania tunauana kwa misingi ya tofauti zetu. Sisi sote ni ndugu.
Ule mwanasiasa wa Chadema aliyepigwa risasi SI Mtanzania na kauawa na Waganda? Nimekwambia tumia akili bro wacha kuwa emotional like a b***c.
 
muda ni kitu muhimu sana. bora niende shambani kulima kuliko kubishana vitu ambavyo si vya msingi na punguani huyu.
Weee tunaongelea watu 14 wamekufa wewe unaongelea sijui nini.
Fungua uzi kuhusu hiyo. tutaujadili.
 
You are right, the police can not prevent you not only from making a video, but also to rob, still, to kill etc etc, you can do all that. but the issue is to be free after these bad deed. That is the issue. Mkijiongeza ndiyo mtaweza kuwakamata.
Wale waliomteka nyara Mo walikamatwa? waliomkatakata mwanasiasa wa Chadema walikamatwa? Waliomteka nyara stsheni ya polisi Dar na kuiba silaha walikamatwa???

Stop bitching like a bitch, emotional reasoning inakufanya kuwa mjinga.
 
muda ni kitu muhimu sana. bora niende shambani kulima kuliko kubishana vitu ambavyo si vya msingi na punguani huyu.
Weee tunaongelea watu 14 wamekufa wewe unaongelea sijui nini.
Fungua uzi kuhusu hiyo. tutaujadili.
Kalime Koroshow jiwe na Jeshi lake watakuvunia ili uweze kuwalisha wanaokula kinyesi.
 
Wale waliomteka nyara Mo walikamatwa? waliomkatakata mwanasiasa wa Chadema walikamatwa? Waliomteka nyara stsheni ya polisi Dar na kuiba silaha walikamatwa???

Stop bitching like a bitch, emotional reasoning inakufanya kuwa mjinga.

Yaping and yaping and yaping... those are just isolated incidences. You cant copare with the alshabab related carnages.
By the way wale waliokata mkono wa Musando wamehukumiwa miaka mingapi?
 
Musando's was an isolated incidence too 😁😁😁
 
Back
Top Bottom