Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,929
- 6,030
Wakati dunia inashuhudia kuuwawa kwa viongozi madhalimu wa huko Iran watu wengi wanajiuliza Kiongozi mpya wa Kidini Ayatollah Mojtaba Khamenei yuko wapi?
Kuna watu wengi wanadai jamaa hao hawaogopi kufa sasa huyu Majitaka Khamenei anatafutwa sana kwa nini hajitokezi ili afe shahidi? Adiosamigo 100 others gallow bird mdogoee zitto junior