Kiongozi gani kaitikisa ccm

baba anjela

JF-Expert Member
Mar 17, 2013
430
310
Nimwenyekiti yupi kati ya hawa ameweza kupasua ngome ya ccm na kwa asilimia ngapi?
1.Mch Mtikila
2.Mrema
3.Lipumba
4.Mbatia
5.Mbowe
toa maoni ukiweka asilimia mfano Mh Mrema 20%
 
Mbowe kwa mara ya kwanza kafikisha viti 49 vya wabunge pinzani bungeni cdm 75%
 
Back
Top Bottom