Papa Francesco asubuhi katika misa yake ya kwanza amesema
-Uongozi ni utumishi
-kiongozi anapaswa kuwa mpole, lakini si mdhaifu
-tuna wajibu wa kuvilinda viumbe vyote vya mwenyezi Mungu: binadamu, mazingira na vyote vilivyomo
Nadhani haya maneno ya busara yanapaswa kuguswa uongozi wa Nchi yetu pia