Leo katika taarifa ya habari ITV wamerusha mazishi ya mmoja wa waliofariki katika ajali ya gari wakitokea katika sherehe za miaka 40 ya chama cha mapinduzi.
Imeelezwa kuwa Marehemu licha ya kuwa katibu Wa chama cha walimu huko mkoani Kilimanjaro, pia alikuwa mjumbe wa NEC ya CCM.
Ikumbukwe kuwa sheria imekataa katakata mtumishi wa umma kujihusisha na siasa hasa hili la kushika nyadhifa za uongozi.
Nachelea kuelewa kuwa huyu marehemu yeye alikuwa anaishi na kufanya kazi chini ya sheria ipi