Kioja cha Raila, aahirisha kuapishwa kwake

Haaa haaa haaaa teeeh teeeeh teeeh
Kuna video flani hivi sijui ni nani huyo aliyemkabidhi Raila ng'ombe, pale makao ya chama chake Orange House. Sijui ilikuwa ni birthday yake. Raila aliposhika mkanda tu, ng'ombe akapandwa na mori akaanza kuruka juu na chini kwa fujo. Yaani RAO alivochana mbuga ilikuwa ni kama slowmotionX2. Mhenga huyo lakini hataki kujibeba kiheshima kama inavofaa kwa elder statesman kama yeye.
 
Ushauri anapata toka kwa swaiba wake Magufuli

Kama ni ushauri kutoka kwa Dr Magufuli ni kwanini yeye Magufuli hakumruhusu Edward Lowassa kuapishwa kistaili au hakutengeneza serikali ya nusu mkate kwani Magufuli alipata kura million 8 na Lowassa million 6.5!!!! Acheni uzushi na kumpaka matope Rais wa Tanzania. Raila sasa angoje mpaka 2022 na ingefaa Mhe Uhuru apige marufuku siasa za kampeni mpaka 2022 Juni kama Magufuli alivyofanya Tanzania, nchi ya Kenya inakuwa kana kwamba hakuna polisi, wala usalama wa taifa, kwa hiyo Raila afuate mfano wa rafiki yake Magufuli na aheshimu serikali iliopo madarakani.
 
Back
Top Bottom