Kinyozi alikuwa na saluni yake juu ghorofani, mara alihamia chini. Akaweka tangazo hili ''KINYOZI ALIYEKUWA ANANYOA JUU SASA ANANYOA CHINI'' wateja wote walimkimbia.