Kinyozi wa ........

Gaga

JF-Expert Member
Joined
Jan 6, 2011
Posts
4,558
Reaction score
1,971
Kuna baba mmja alimuaga mkewe anaenda salon kunyoa nywele za sirini.
Aliporudi home akamwonyesha mkewe ,akamsifia sana huyo mmewe kwamba kanyolewa vizuri, na akamwomba mumewe amwelekeze na yeye akanyolewe.
mume bila kinyongo akamwelekeza.na akamwambia alilipa alf 20

Mdada wa watu alipofika akanyolewa vizuri tu alipomaliza akatoa alf 20.kinyozi akamwambia ni alf 40, mdada akauliza kwa nini mbona mumewe alikuwa hapo muda mfupi alilipa alf 20?
AKAAMBIWA MUMEO SI ANAO MSHIKIO???????
 

hahahahahahahaaaaaa
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…