Kinyozi wa saloon anahitajika

Khaleed Shaban

JF-Expert Member
Jun 11, 2014
399
58
Habari zenu wakuu
Nahitaji kijana anaeweza kufanya kazi zote za salon kama kunyoa
na aweze kutumia magic,black,wave nk
Salon imekamilika ipo Dar es salaam,Tandale chama eneo limechangamka sana
Kwa mawasiliano namba 0656899091
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom