KINYOZI PAMOJA NA MSUSI.

be unique

JF-Expert Member
Oct 12, 2016
2,374
2,273
Salaam jf,Natumaini mpo salama,leo nimeona tuwape shavu wale vinyozi pamoja na wasusi ambao huwa wanatufanya tuonekane vizuri tukiwa katika mishe mishe zetu na mionekano amaizing kutokana na kazi nzuri wanazofanya kwenye vichwa vyetu.
Acha nianze mimi kwa kumpa shavu kinyozi wangu wakuitwa charze kutoka pande za mjimwema kigamboni.
Nasubiri comment yako kumpa salaam kinyozi au msusi wako.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom