Pia anaweza kutumia ndizi mbivu wakati wa kila mlo. Wakati mwingine tatizo hili husababishwa na ubaguzi i.e kupewa chakula tofauti na mnachokula, kama vile ukoko badala ya wali, japo wachangiaji wameogopa kulitaja hili.Kama si tatizo la kiafya(disease) Mpe Fanta Passion mbili kila siku ,moja mchana akishakula na nyingine usiku anapokaribia kulala kwa siku tatu tatizo litaisha,sifanyi utani na ulete majibu hapa jamvini
Funzadume hakika hilo tatizo lina tiba,kwanza elewa kuwa tunapokula chakula siyo chote kinakuwa digested.Kuna kitu kinaitwa clogged faeces katika ktk digestive sysytem,na hii ndo chanzo kikubwa sana cha kinyesi kunuka.Dalili ya kuwa na clogged faeces ni kukosa au kupata choo kidogo pindi mtu anapojisikia haja kubwa.kunuka mdomo,kukosa hamu ya kula,ngozi kutokuwa nyororo.Tiba ziko nyingi moja wapo ni kupigwa bomba au kutumia dawa.siku hizi kuna dawa toka china na malaysia zinazoondoka hizi clogged faeces.Habari za leo wapenzi wa JF Doctor,Kuna tatizo analo mfanyakazi wangu wa ndani la kujisaidia kinyesi chenye harufu kali sana kiasi kwamba kama akijisahidia harufu inatawala nyumba nzima mpk kero. Tumejaribu kumshauri anywe maji kwa wingi na kula vyakula laini na mapapai lakini bado haisaidii. Tumeishi nae kwa miaka mitatu sasa akiwa na hilo tatizo kiasi kwamba nafikiria kujenga choo cha nje kwa ajili yake maana amekuwa kama ndugu sasa.Swali langu kwenu ni je kuna tiba yeyote juu ya tatizo hili? Naomba ushauri ndg zangu, serious
Nashauri aangaliwe kama analiwa tigo..wakati mwingine inasumbua..kuna jamaa zangu waliishi na 'GAY' wanadai hali pia ilikuwa mbaya...pole ndugu yangu umefanya reserch ya kutosha kwa mfano akijamba inakuwaje?pia na kushauri mpeleke kwa babu loliondo atapona tu.