Washawasha
JF-Expert Member
- Aug 7, 2006
- 16,970
- 13,427
Hakuna cha njaa Mkuu Kidonge,nimetandika viazi vitamu na chai,niko njemakaka nakushauri usianzishe sredi ukiwa na njaa.
mkozenu safarini kuelekea kisiju,kufika sehemu dereva akacmamisha gari ili mkachimbe dawa pia mkamkuta mkazi wa pale naye alikuwa anajisaidia alivyomaliza akachukua kinyesi chako na kukiweka kwenye mfuko wa rambo na ww unamuona je?utarudi umùulize jamaa kinyesi chako anataka kukifanyia nn au utawahi kwenye bus,maana kondakta anapiga kelele
hii menu mkuu inabidi wakuongezee mshahara tu. dah!Hakuna cha njaa Mkuu Kidonge,nimetandika viazi vitamu na chai,niko njema
hii menu mkuu inabidi wakuongezee mshahara tu. Dah!
Mie nimeomba wanipunguzie mshahara wangu maana mbwa na paka wangu kila siku wanataka mambo ya Nandoz/steers 3x a day nataka na wao wale viazi/mihogo kama mie,kwahiyo waknpunguzia cntokuwa na huruma naohii menu mkuu inabidi wakuongezee mshahara tu. dah!
Huyo jamaa atakuwa Basha a.k.a Mende atakuwa ananusa na kuwaza anaku......lol!Mkozenu safarini kuelekea Kisiju,kufika sehemu Dereva akacmamisha gari ili mkachimbe dawa pia mkamkuta mkazi wa pale naye alikuwa anajisaidia alivyomaliza akachukua kinyesi chako na kukiweka kwenye mfuko wa Rambo na ww unamuona je?utarudi umùulize jamaa kinyesi chako anataka kukifanyia nn au utawahi kwenye Bus,maana Kondakta anapiga kelele